Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

SUNGURA-MJANJA

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
200
Reaction score
33
Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?
 
Bado anaugulia machungu ya kuiharibu cv yake kizembe akidhani anaisadia ccm kumbe mtego wa kummaliza kwa kusimamia undwaji katiba feki na ya aibu.

Sasa hivi anatembea na aibu juu ya mwili wake, kachafuka na kapoteza ujasili wa majivuno ya speed & standard
 
ImageUploadedByJamiiForums1421558805.789139.jpg
Hakujua kuwa pale alikuwa anatolewa kafara yeye akadhani CCM wanania njema na yeye. Sifa zimemponza.
 
That's how they do, use u, finish u... and damp you like a used condom
He went to far had kutukana viongozi wa dini, alimtukana Mungu laaana ina mla. Kisa nini katiba feki iliyojaa unafiki na ubinafis na uroho wa madaraka
 
Anaugulia rahana ya viongozi wadini aliowaita wanafiq, anashangaa jinsi njia ya kwenda magogoni ilivyozibwa na kujaa misumali ya moto
 
That's how they do, use u, finish u... and damp you like a used condom
He went to far had kutukana viongozi wa dini, alimtukana Mungu laaana ina mla. Kisa nini katiba feki iliyojaa unafiki na ubinafis na uroho wa madaraka

alijizolea heshima, ch ajabu aliipiga mateke.
 
Nasikia amejisalimisha kwa mzee wa Monduli na wamemaliza tofauti zao.
 
Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?
Lazima Sitta akae kimya kwa sasa, kabla hajafa.
Maana anajionea mwenyewe ujinga wa katiba feki aliyoitengeneza na kina Chenge.

Kaitengeneza katiba akishirikiana na wezi wa Escrow, kwa kuweka vipengere vitakavyo walinda hata wakiiba na kufisadi.

Historia itamhukumu kama mmoja wa wezi wa haki za wananchi kudhibiti uongozi ulio madarakani.
 
Anakula Mabilioni waliochota yeye na familia yake kwenye BMK.
 
Alijitia kitanzi cha siasa yeye mwenyewe hadi wapiga kura wake wa urambo hawataki kumuona kabisa
 
Back
Top Bottom