Kwa data zilizopo, ni kigogo pale OUT, ni msomi wa Sheria akibobea katika eneo la Constitutional and International Law. Nenda pale OUT kaulize.
BAshe kamzalisha mbiki,bwana ake BONA alikuja kimya kimya dodoma akamfuma akiwa na bashe,ndoa ikavunjikaBashe ana wake wangapi?
Si amemwoa mbunge wa Segerea pia?
Unaoa, unamla, unamtwanga talaka, unatafuta mwingine. So nafasi zako za kuoa unakua hauzijazi.
Kila unayemtaka anajiona anakuja kuwa mke wa pili na wewe kazi yako inakua ni kuwagongea ndani ya ndoa na kuwapiga talaka.
Lakini si angalau wana wagongea ndani ya ndoa badala ya kuwagongea guest na majanini😃Wanaume wa kiislam wahuni ndio mambo yao haya. Wanaoa wanagonga wakichoka wanapiga talaka. Wanaoa mwingine
Masudi kipanya na haji manara ndio mambo yao haya.
Kumbe jamaa yuko vyema kutafuna hadi wake za watu?BAshe kamzalisha mbiki,bwana ake BONA alikuja kimya kimya dodoma akamfuma akiwa na bashe,ndoa ikavunjika
Enhe lete story ikawaje hapoBAshe kamzalisha mbiki,bwana ake BONA alikuja kimya kimya dodoma akamfuma akiwa na bashe,ndoa ikavunjika
Amekunja ndita anasikilizia.Bashe anasemaje?
🤔😳Na Leo ARV Trump ndo kashazuia😅Muda ni hakimu, enzi hizo za kimobiteli, mademu wakali mjini wanamegwa na watoto wa mjini kwa kuhongwa chaser mayai ma Mark II hizi hizi za milioni 1.5 leo.
Starehe, starehe kweli kwa macheni enzi hizo. viwanja vikali Sinza enzi hizo. Mtu mzima Hashim Lundenga yupo hai?
Enzi hizo ARV lazima uwe na hela na connection, leo tunawapa Nguruwe ARV. Nimekumbuka mbali mhenga mie😁
🤔😳Na Leo ARV Trump ndo kashazuia😅
Mtoni mtongani mbona karibu tu hapoYuko mtoni kitambo sana
Lundenga?Mtoni mtongani mbona karibu tu hapo
Kuna msela kapokea kijiti toka kwa Mstaafu. Sema Mstaafu anapenda matolu sana. Bona nae zinga la tolu.Habari wakuu,
Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
HahahaYupo hapa pembeni yangu kalala. Una ujumbe wowote nimpatie?
Dadavua bin elaborateKuna msela kapokea kijiti toka kwa Mstaafu. Sema Mstaafu anapenda matolu sana. Bona nae zinga la tolu.
Wa nini ?Habari wakuu,
Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
2000Huyo alikuwa Miss Tanzania namba 2 sikumbuki mwaka. Lazima atakuwa huko atakakokuwa.
Phares Magesa kaopoa Chombo Mbiki Msumi.Nimeiona hii online mume ex Magessa wa yule dada wa Mbezi Garden - Haika Lawere ndio anauvuta mzigo huu Mbiki Msumi, wameengage jana na picha zimerushwa live. Mambo hadharani.