donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Jul 31, 2023 #1 Habari wakuu, Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
Habari wakuu, Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,941 Reaction score 22,245 Jul 31, 2023 #2 Yupo hapa pembeni yangu kalala. Una ujumbe wowote nimpatie?
Mr Sir1 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,787 Reaction score 8,115 Jul 31, 2023 #3 Itakuwa ndio wewe Mbiki Msumi unataka ujue watu kama wanakujua na kukumbuka bado. Kwa kweli hatujali ulipo sasa hivi focus yetu ipo bandarini. Wewe endelea tu kukaa kimya.
Itakuwa ndio wewe Mbiki Msumi unataka ujue watu kama wanakujua na kukumbuka bado. Kwa kweli hatujali ulipo sasa hivi focus yetu ipo bandarini. Wewe endelea tu kukaa kimya.
Okrap JF-Expert Member Joined Jul 13, 2022 Posts 1,112 Reaction score 2,315 Jul 31, 2023 #4 Ngurukia said: Yupo hapa pembeni yangu kalala. Una ujumbe wowote nimpatie? Click to expand... Ahahahah msalimie
Ngurukia said: Yupo hapa pembeni yangu kalala. Una ujumbe wowote nimpatie? Click to expand... Ahahahah msalimie
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,753 Jul 31, 2023 #5 Sikuwahi kusikia hilo jina Imebidi nimgoogle
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,051 Reaction score 23,669 Jul 31, 2023 #6 Joanah said: Sikuwahi kusikia hilo jina Imebidi nimgoogle Click to expand... Wewe sio old skul, Aina Maeda unamkumbuka?
Joanah said: Sikuwahi kusikia hilo jina Imebidi nimgoogle Click to expand... Wewe sio old skul, Aina Maeda unamkumbuka?
M marisi schwein JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 1,037 Reaction score 3,181 Jul 31, 2023 #7 Nasikia alikuwa mke wa ndoa wa Hussein Bashe though sina uhakika kama bado wapo pamoja.
M Matongee JF-Expert Member Joined Jun 17, 2023 Posts 1,226 Reaction score 3,173 Jul 31, 2023 #8 Huyo alikuwa Miss Tanzania namba 2 sikumbuki mwaka. Lazima atakuwa huko atakakokuwa.
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,131 Reaction score 14,604 Jul 31, 2023 #9 Testimonial said: Itakuwa ndio wewe Mbiki Msumi unataka ujue watu kama wanakujua na kukumbuka bado. Kwa kweli hatujali ulipo sasa hivi focus yetu ipo bandarini. Wewe endelea tu kukaa kimya. Click to expand... Aahaaaa
Testimonial said: Itakuwa ndio wewe Mbiki Msumi unataka ujue watu kama wanakujua na kukumbuka bado. Kwa kweli hatujali ulipo sasa hivi focus yetu ipo bandarini. Wewe endelea tu kukaa kimya. Click to expand... Aahaaaa
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,753 Jul 31, 2023 #10 nguvu said: Wewe sio old skul, Aina Maeda unamkumbuka? Click to expand... Sio tu simkumbuki...hata hilo jina pia sijawahi kulisikia
nguvu said: Wewe sio old skul, Aina Maeda unamkumbuka? Click to expand... Sio tu simkumbuki...hata hilo jina pia sijawahi kulisikia
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,874 Jul 31, 2023 #11 Joanah said: Sio tu simkumbuki...hata hilo jina pia sijawahi kulisikia Click to expand... Siyo mhenga wewe.
Joanah said: Sio tu simkumbuki...hata hilo jina pia sijawahi kulisikia Click to expand... Siyo mhenga wewe.
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,485 Jul 31, 2023 #12 Kweli JF inakosa jibu la swali hili. Kweli kaamua ku-keep low profile
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Jul 31, 2023 Thread starter #13 Ngurukia said: Yupo hapa pembeni yangu kalala. Una ujumbe wowote nimpatie? Click to expand... Mwambie namsalimu
Ngurukia said: Yupo hapa pembeni yangu kalala. Una ujumbe wowote nimpatie? Click to expand... Mwambie namsalimu
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Jul 31, 2023 Thread starter #14 Testimonial said: Itakuwa ndio wewe Mbiki Msumi unataka ujue watu kama wanakujua na kukumbuka bado. Kwa kweli hatujali ulipo sasa hivi focus yetu ipo bandarini. Wewe endelea tu kukaa kimya. Click to expand... Asante shangazi msumba
Testimonial said: Itakuwa ndio wewe Mbiki Msumi unataka ujue watu kama wanakujua na kukumbuka bado. Kwa kweli hatujali ulipo sasa hivi focus yetu ipo bandarini. Wewe endelea tu kukaa kimya. Click to expand... Asante shangazi msumba
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Jul 31, 2023 Thread starter #15 Joanah said: Sikuwahi kusikia hilo jina Imebidi nimgoogle Click to expand... Wewe sio wa kitambo
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Jul 31, 2023 Thread starter #16 funzadume said: Kweli JF inakosa jibu la swali hili. Kweli kaamua ku-keep low profile Click to expand... Umeona Eeeh?
funzadume said: Kweli JF inakosa jibu la swali hili. Kweli kaamua ku-keep low profile Click to expand... Umeona Eeeh?
Forest Hill JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 2,873 Reaction score 6,886 Jul 31, 2023 #17 Yuko mtoni kitambo sana
Unasemeje JF-Expert Member Joined Apr 29, 2021 Posts 248 Reaction score 929 Jul 31, 2023 #18 PakiJinja said: Ina nini? Ina TV ndani? Click to expand... Classic sana, hutojuta.
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,759 Reaction score 6,041 Jul 31, 2023 #19 Ni mchepuko wangu yupo ghetto
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,701 Jul 31, 2023 #20 Moderator ongezea hii kwenye uzi. Nadhani mtafutwa ndio huyu