Yuko wapi Makonda?

Yuko wapi Makonda?

nipo JKT ...simnajua DM nilazima awe amepitia JKT ????.

..alafu nyinyi nilivyowambia mkiniona sipo mjue nipo huko ,mlizani natania ?????? .
 
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
Yuko viunga vya Nairobi anamvizia TL asije akapelekwa nje kabla ya kummaliza!
 
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
ulikuwa una mjua kupitia mange kimambi.maana bila huyu dada tusinge mjua makonda wa mikoani
 
Nafikiri atakuwa kwenye opereshen ya tokomeza madawa ya kulevya si mnajua hatakagi ujinga
 
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.

Inaweza kuwa hasara kubwa sana km akitia maguu viunga vya Nairobi
 
Tangu issue ya miss 2006 mhenga yule anayejiona bado ana miaka 20 amekuwa kimyaaaaa
Hamisha hamisha pokea pokea inaandaliwa kwa mutu ingine miss 2006 kiki ilibumazzzzz

Oh wanasema anawaandaa vijana oops wanafunzi oh no wanavyuo waliobahatika kupata mikopo waende wakatembelee mbuga za wanyama kila kitu wamalipiwa na kodi zetu. Anyways katika kukuza utalii ndani kwa ndani na kampeni juu kujiandaa na 2020. Kingwa nani tena vile nashindwa kutamka jina zima huwa linanisumbua kidogo. Anyways zero brain na huyo kingwa naniiihii wana majukumu meeengi yenye zero results.
 
Desemba hii Mkuu wetu wa Mkoa amekuwa kimya sana.

Wafuatiliaji wa mambo wamenidokeza kuwa hata Sherehe za Uhuru hakuambatana na Mheshimiwa Rais kama ilivyo desturi ya viongozi wetu hawa Wapendwa kupeana sapoti.

U wapi mkuu wangu wa Mkoa Makonda?
Kaenda kutafuta uzazi.
 
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
Magazeti bado yamemuwekea ban hawamwandiki tu. Yupo sana.
 
Back
Top Bottom