technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,554
- 57,846
Jana sijaona akitambulishwa bungeni
Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ?
Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi?
Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine?
Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ?
Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi?
Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine?
Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?