Yuko wapi Lowassa?

Niko nae twafuga Ng'ombe wetu na mbuzi!!blah blah hataki kusikia babu yangu kipenziii
 
Sijamsikia kabisa akitia neno katika ishu ya madawa!
 
Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Lowasa kaamua kupuuza utabiri wa TB Joshua baada ya kuona kapigwa tena kwenye uchaguzi mdogo..
 
Nasikia ccm wamempa Ugonjwa wa pressure Baada ya ushindi wa Kata 19
 
Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Kwani mama yako amerudi mkuu? Juzi walipita naye huku kwetu sasa sijui kama hajarudi!
 
Daah kweli Lowassa ni kiboko yao..yaan wana muogopa kama nn..msiwe na wasi wasi...UKUTa..unafanyika kimya kimya
 
Lowasa kaamua kupuuza utabiri wa TB Joshua baada ya kuona kapigwa tena kwenye uchaguzi mdogo..
Hahahaa hapo simo. Unajua wanaoenda kwa tb joshua hutoa mpunga mrefu mpaka anachanganyikiwa ndio maana anafanya follow up
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…