Yuko wapi Lowassa?

Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Hana desturi ya kuongea pumba. Ni few words which are rich of wisdom
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa ,Ukimya wake huwa unatisha
remember huyo ni baba wa watu, babu ya watu nk! na isingekua vuzuri wewe ucoment hivyo unajulikana kwa kuwa waliotoka CHADEMA Wakaenda ACT na kuishia CCM ni wachache na wanajulikana! you are easily treceble Mkuu! Au unataka nianze kutoa hints?

Bukoba unakujua!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…