BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Hivi "le mtindiz" ni nini mana yake ..sio nyonyo kweli ama chuchu za wanawake anaowasifia akipiga nao pichaYuko bize anapiga mapicha na Le mtindizi.
Hivi "le mtindiz" ni nini mana yake ..sio nyonyo kweli ama chuchu za wanawake anaowasifia akipiga nao pichaYuko bize anapiga mapicha na Le mtindizi.
Yupo dantauni sema ukipishana nae huwezi kumjua kakonda siku hz kawa modelMbona sioni posti za huyu babu mwenye busara nyingi..yuko wapi wajameni au naye katumbuliwa au hali ngumu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Super Star wa Instagram Award.......2016Kashinda nini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] UV?!!!Hivi huyo Mzee nasikia umri wake haujatofautiana sana na JK ila yeye bado ni memba wa UVCCM.
Wewe wacha maneno 'dantauni' kwa 'dantauni' mzee wa mabebiz wakali bado bonge la mtu, anakula bata downtown..Yupo dantauni sema ukipishana nae huwezi kumjua kakonda siku hz kawa model
Atakuwa anapetiwa na Mage Kimambi😵😛Mbona sioni posti za huyu babu mwenye busara nyingi..yuko wapi wajameni au naye katumbuliwa au hali ngumu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unamaanisha kama analika[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] wajameni..!!!
Si huwa nasikiaga eti huyo mdada ana nanihii[emoji125] [emoji125] [emoji102]
..Dunian kunamambo,..Yupo dantauni sema ukipishana nae huwezi kumjua kakonda siku hz kawa model