Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Namkumbuka Mwenyekiti Wa Ccm Mkoa Wa MaraAliunga mkono juhudi lakini mpaka leo bado hajalamba teuzi.
Waliokatwa mkia teuzi ni mpaka wabatizwe kwa ubatizo wa moto.Aliunga mkono juhudi lakini mpaka leo bado hajalamba teuzi.
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Labda bado anauguza kidonda baada ya kukatwa mkiaWaliokatwa mkia teuzi ni mpaka wabatizwe kwa ubatizo wa moto.
😂😂😂😂Labda bado anauguza kidonda baada ya kukatwa mkia
Mwishowe Mungu kamuibua mja wake na kumpoteza mbabaishajiNyalandu alimgaragaza Lisu kwenye kura za kamati kuu
Yupo Arusha vipi unamdai?Huyu kada kindaki ndaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi ? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni , haonekani Tweeter , haonekani Lumumba na White House Dodoma...
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Kitambo sana
Duuh..kweli ccm ni ukoo wa shetani.Namkumbuka Mwenyekiti Wa Ccm Mkoa Wa Mara
Alimchimba Bit Mwita Kaa Kimya Wewe Uliyefika Bei
Nadhani anaaandaa safu ya kupambana na chui jike 2025.Aliahidiwa ubalozi sasa anaona siku zinakwenda ubalozi umeota mbawa amezira kila kitu
Alikuwa CCM na mbunge, alipoenda chadema aliunga mkono Nini? Karudi CCM mara eti kaunga mkono juhudi hajalamba uteuzi! Chadema hovyo.Aliunga mkono juhudi lakini mpaka leo bado hajalamba teuzi.
Huyu kada kindaki ndaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi ? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni , haonekani Tweeter , haonekani Lumumba na White House Dodoma...
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Kitambo sana
Kwani alipokuja chadema alikuja na mkia?Labda bado anauguza kidonda baada ya kukatwa mkia
Labda ameenda kwenye uzinduzi wa ile mbuga feki ya 'african safari' kule uarabuni, yeye si ndiye alikuwa anawauzia wanyama wetu wakati akiwa waziri wa maliasiri na utalii. Kama hawakumpa u-shareholder basi atakuwa ni bwege wa kutupwa.Huyu kada kindaki ndaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi ? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni , haonekani Tweeter , haonekani Lumumba na White House Dodoma...
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Kitambo sana
Anasubiri kuteuliwa balozi kama alivyoahidiwaHuyu kada kindaki ndaki wa CCM amepotelea wapi siku hizi ? Yupo kimya sana.
Haonekani Jimboni , haonekani Tweeter , haonekani Lumumba na White House Dodoma...
Yuko wapi huyu mwanakwetu ?
Kitambo sana