Yuko wapi kitwanga

Yuko wapi kitwanga

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,635
Reaction score
56,996
Wakuu huyu jamaa kitwanga alikuwa mtu wa karibu sana na Magufuli nilitegemea angesamehewa maana pombe sikuona kama sababu Sana labda kama alikuwa na ishu nyingine za lugumi co.yuko wapi mwamba huyu
 
Itakuwa katekwa.maana utekaji umetamalaki nchini
 
Hembu tafta clip yaake you tube ujue kama kweli sababu ilikuwa ulevi au kuna jambo lingine
 
Mbona Kangi Lugola a.k.a Ninja mzee wa kukata mauno mpingaji wa taarifa ya CAG juu ya sare za polisi hujamuulizia? Kitwanga alikupa nini? Mfate huko Mwanza-Misungwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom