activisty
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 315
- 107
- Thread starter
- #21
Hata mimi naweza kuyatamka mengi yaliyo mazuri hata kuzidi hayo ya Sokoine. Lakini je, watanzania wa leo watanipa nafasi ya kuwaongoza? Mazowea ndio maisha ya watanzania. Ni watu wasio na uthubutu hata kidogo.
Ukisimama imara watakupa nafasi cha msingi ni kuwaleta pamoja na kuwabadilisha kifikra ili wajue nini maana ya viongozi na kuwa wao ndo wenye mamlaka juu ya viongozi