Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,451
- 9,981
Mwanasiasa huyu mkongwe na mmoja wa waasisi wa CCM aliyekuwa na kadi namba 8 yuko wapi kwa sasa?
Namkumbuka sana na kauli yake maarufu wakati Kampeni za Uchaguzi Mkuu kuwa " CCM imeishiwa pumzi " yuko wapi komredi huyu?
Nakumbuka enzi hizo kuna maneno yalikuwa yanazagaa mtaani kuwa jamaa ni " Kalumanzila " wa CCM, lakini baadae alikuja kukihama chama hiko. Je ni wapi alipo mwanasiasa huyu mkongwe kwa sasa maana yupo kimya sana?