Tatizo 'Baba' kaumbua...! Kuwa vimemo vilitumika muda mwingi...!Alitegemea apewe uwaziri mkuu.Sasa kaamua kususia shughuli za serikali. Anazifanya anavyotaka,jipu hili
Alitegemea apewe uwaziri mkuu.Sasa kaamua kususia shughuli za serikali. Anazifanya anavyotaka,jipu hili
Inawezekana, SSM wazee wa vimemooooNa juzi baba ndio kamaliza kabisa. Inawezekana kimemo alicho mwandikia uncle Magu ni cha kumuombea uwaziri mkuu nini. Najaribu kuwaza tu kwa maandishi.
Labda uwaziri alipewa kwa memo.February marope akicheza vibaya na Ngosha anaisha kisiasa! Hana mizizi ya maana kwenye chama lakini na muona kama ana kiburi fulani hivi! Ngosha sio kwamba anahangaikia na wapinzani wake wa nje pia anamonitor nyendo za wapinzani wake ndani ya chama! Nadhani anajua ndio maana hata wizara aliyopewa sio ya kumfanya asikike sana! Akili kichwani
Umensikia lini Le professer de geologia !?Hata Dr Kigwangala kaingia mitini
Hivi walishapewea 'instrument' za kufanyia kazi? Kuna kanuni flani hivi wanatakiwa kupewa kudhibitisha kuwa ni 'mawaziri wenye meno'. Wanapewa kanuni hizo na mkuu wa kaya.miezi michache hivi wameishiwa namna hii, je mwaka ukiisha itakuwaje. lakini vile vile msisahau kuisoma namba
Wakuu poleni na majukukumu ya kulizungusha tairi la maendeleo.
Nakuja mbele yenu nikitaka kujua huyu kijana mwenzetu kwenye siasa za nchi hii.
Maana amekuwa kimya sana hata zile twit zake hatuzioni kwa kasi hii ya mzee wetu kipenzi hapa kasi tu. Ni kipi kimemsibu na kuwa kimya hivi.
Ukichukulia wizara anayoongoza bado inachangamoto sana. Si mwingine ni Januari Makamba. Hata kwenye mkutano wa juzi huko Dodoma hata picha magazetini au kwenye TV station akifanya mahojiano.
Maana tulizoea kumuona hasa wakati wa jk au wakati tukielekea kwenye uchaguzi alikua hakauki kwenye media nini kimempata kijana wetu.
Naomba kuwasilisha.