Yuko wapi kayumba yote maisha na mwenzake emmy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi kayumba yote maisha na mwenzake emmy

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mujwahuzia, Feb 15, 2012.

 1. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamiiforums wenzangu naomba mnisaidie kupata jibu, nataka kujua Kijana wetu maalufu kwa Jina la KAYUMBA YOTE MAISHA na mwenzake EMMY wapo wapi watoto ambao walikuwa wanaeleza mwenendo wa maisha ya mtoto wa shule anayetoka katika familia ya kimaskini katika tangazo la Haki Elimu Je ? wanaendelea na shule na wanafanya vizuri Darasani au hata ile taasisi ya Haki Elimu nayo imewatelekeza watoto hao nisaidieni kupata majibu wenzangu. mujwahuzia
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahisi wapo ulaya now
   
 4. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kayumba alikuwa chuo cha sanaa bagamoyo ila Emmy cjui
   
 5. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kutopata jibu sahihi la hawa vijana wetu waliopo kwa sasa pamoja na maendeleo yao ninawashukuru sana wale woote walioguswa na kunipatia jibu hili kwa vile nilikuwa na mchango wangu mzito juu ya swali langu ngoja niendelee kuwa na subira kidogooooooooooo_Ofisi ya Haki Elimu natumai wanalo jibu kwani waliwatumia sana vijana hawa katika Matangazo yao.
   
 6. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  kayumba yupo form 2 Makongo.
   
Loading...