Bila shaka Mwibara swali ni jeamepanda ulingoni?View attachment 3393710
Huyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO?
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana.
Nawasilisha.
Hivi Cyprian Musiba amechukua fomu jimbo la mwibara?View attachment 3393710
Huyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO?
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana.
Nawasilisha.
Mcheki Kwenye Maonyesho ya Polisi Jazz BandView attachment 3393710