Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,230
- 22,841
Huyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO?
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana.
Nawasilisha.