Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Ukiwa na muda,zaidi katika umri wa uzeeni,kawaida ni muda wa kulea wajukuu,na kufahamiana na wajukuu ambao hukubahatika kuwajua kwa sababu ya mambo mengi 🤔
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Hiyu mzee siku akiondoka duniani ndio atakumbukwa mambo mengi sliyotafanta dhidi ya uonevu wa wananchi kutoka kwa poliso.
Boda boda walikuwa huru na manyanyaso yalikoma.
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Last time nimemuona ilikuwa ni kwenye video anawatahadharisha wadudu kwenye miti yake ya mikorosho. Aliwapa siku 3 wale wadudu wawe wameondoka wenyewe ama wapambane na nguvu na hasira za bwana Kangi na familia yake wakiwa wamejidhatiti vilivyo na dawa hatari sana za kuuwa wadudu waharibifu wa mazao