Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,523
- 1,817
Sawa, tutamuuliza Murilo siku moja.Nchi za Nje ..Kwa mujibu wa Kamanda Murilo..
Sawa, tutamuuliza Murilo siku moja.Nchi za Nje ..Kwa mujibu wa Kamanda Murilo..
ulitaka apate mawe sio?Anapata watoto kila mwaka
Nadhani bado analea
Naona chawa wake umeibuka kutoka kwenye skintight yakeHiyo Kuzaa kila mwaka unampa Mimba Wewe?!!! Weka Takwimu zako vizuri Juliana ana watoto wawili tu wa kike na kiume. Watu wazima mnashindwa kujadili mambo ya Msingi, Juliana sio chanzo cha Maisha yenu kuwa magumu. Mkomeni