Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,094
- 34,209
Mimi sina neno lingine la ziadaJamaa nina mashaka hali yake kiafya itakuwa si nzuri .
Ila hii serikali aise...................
Mimi sina neno lingine la kuongeza nisije nikasababisha mtu apasue simu yakeUkijilipua kudeal na mtu aliekabidhiwa watu zaidi ya 8K kumuangalia yeye peke ake inakubidi ukubali yote.
Nadhani sasa hivi baada ya kurambwa Slowslow, amevaa diapers asijue ataishia wapi wakati huu wa mtandao.Mzee wa kuliamsha dudeeee
Jamaa tunamuhitaji sana kwa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa.Mzee wa kuliamsha dudeeee
SawaMimi sina neno lingine la ziada
Kwa hiyo unafurahia?Nadhani sasa hivi baada ya kurambwa Slowslow, amevaa diapers asijue ataishia wapi wakati huu wa mtandao.
Wakati unamuhitaji Gwajima, wewe kwa nafasi yako umefanya nini?Jamaa tunamuhitaji sana kwa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa.
Kumuanzishia uzi.Wakati unamuhitaji Gwajima, wewe kwa nafasi yako umefanya nini?
Sana tu. Mie maccm yakiumizana nafurahi. Unadhani familia za akina Ben Saanane, Mdude na wengine zimeumia kiasi gani. Natamani Polepole akutwe maiti siyo mahututi. Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga au siyo?Kwa hiyo unafurahia?
ππππππKumuanzishia uzi.
Anajiandaa kupokea kilichokuwa kijiti cha HPPKimepita kipindi kirefu hatujamsikia mchungaji Josephat Gwajima na hii si kawaida yake.
Kwa ukimya huu mkubwa bila shaka jamaa huenda walimbananisha haswa hivyo huenda hali yake ki afya si nzuri na bila shaka hayupo Tanzania.
Kwa Gwajima tunayemjua mtu asiyekubali kushindwa kiwepesi wepesi kwa matukio yanayoendelea kila kukicha lazima angetoa neno lolote asingekaa kimya.
Jamaa nina mashaka hali yake kiafya itakuwa si nzuri .
Ila hii serikali aisee.................