Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,053 Reaction score 616 Apr 22, 2012 #1 Huyu alikua mwanamieleka miaka ya 80 pamoja na marehemu power Bernado. Atakua mtu mzima sasa. Yuko wapi sasa?
Huyu alikua mwanamieleka miaka ya 80 pamoja na marehemu power Bernado. Atakua mtu mzima sasa. Yuko wapi sasa?
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,380 Apr 22, 2012 #2 Da umenikusha mbali sana, enzi za power Chaka, na kwenye ngumi kulikuwa na kina Samwel Pataul, Paul siza, Kinyogoli, Mlundwa, Charles Muhilu 'spinks' dah
Da umenikusha mbali sana, enzi za power Chaka, na kwenye ngumi kulikuwa na kina Samwel Pataul, Paul siza, Kinyogoli, Mlundwa, Charles Muhilu 'spinks' dah