Yuko wapi Jaakimbute

Yuko wapi Jaakimbute

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371
Muimbaji huyu wa muziki wa reggae hapa nchini sijamsikia siku nyingi achilia mbali kumuona, naamini amejichimbia kwa muda mrefu kutuandalia vibao murua, kama kuna ajuaye lolote kumuhusu Kimbute mreteni atupie hapa.

cc. Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
sina nia ya kuwapigia kelele, anayefahamu alipo jaakimbute
 
Saa hizi si atakuwa babu maake ni long time maake,hata akina marehemu Asante Rabi walitangulia mbele ya haki kitambo.Au Manju anaweza kutwambia ingawa naye sijui kapotelea wapi na ubunifu wake wa nguo za asili.
 
Yupo analima sakrament na kuitumia kwa ibada za kirasta
 
Kimbute yuu wapi jamani
 
Back
Top Bottom