Niko hapa unasemaje!Huyu Mbabe sijamsikia kwa kipindi kirefu, mwenye kujua taarifa zake aje atujuze.
Acha tujivunie kiingereza aisee.....poor are u Mahita.Mzee wa ngunguri namkumbuka sana kwenye propaganda yake ya kontena la visu aina ya majambia alilotaka kuaminisha umma kuwa lililetwa na Cuf kwa ajili ya kuvuruga amani ya nchi......poor are u Mahita
Mwenyekiti wa Bodi, TANAPAHuyu Mbabe sijamsikia kwa kipindi kirefu, mwenye kujua taarifa zake aje atujuze.
Mwenyekiti wa bodi ya TANAPA ni mkuu wa majeshi General George Waitara.Mwenyekiti wa Bodi, TANAPA
Dah,mungu anakuona ujue!Acha tujivunie kiingereza aisee.....poor are u Mahita.
si kweli mkuu!!Mwenyekiti wa Bodi, TANAPA
Nimenukuu tu mkuu, siyo mimi.
Okay, NiliConfuseMwenyekiti wa bodi ya TANAPA ni mkuu wa majeshi General George Waitara.