Yuko wapi huyu mtu K4life wa Mikumi

multiple

multiple

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
392
Likes
615
Points
180
multiple

multiple

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
392 615 180
Habari wakuu...
Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za majanga yake ya mikumi (hahahaahah:D:D:D:D:D:D)..yan huyu bwana matukio yoote ya ajabu alishuhudia yeye.. sijamskia siku nyingi
.
Uko wapi mzee mzima K4LIFE...Zile story kunawakati tunapunguza stress zetu katika kuisoma namba .. Tunakuhitaji bhaaaana..
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
15,899
Likes
39,641
Points
280
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
15,899 39,641 280
Ngojea atakuja
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
9,303
Likes
7,303
Points
280
Age
49
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
9,303 7,303 280
Habari wakuu...
Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za majanga yake ya mikumi (hahahaahah:D:D:D:D:D:D)..yan huyu bwana matukio yoote ya ajabu alishuhudia yeye.. sijamskia siku nyingi
.
Uko wapi mzee mzima K4LIFE...Zile story kunawakati tunapunguza stress zetu katika kuisoma namba .. Tunakuhitaji bhaaaana..
labda simba alishampitia
 
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Messages
4,124
Likes
2,246
Points
280
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined May 28, 2015
4,124 2,246 280
aseee kweli mkuu kapotea,anakwambia alikuwa na baiskeli sijui anatoka wap...kapita pale mikumi ati na bike aseee
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
3,130
Likes
2,272
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
3,130 2,272 280
Nikiwa serious sana humu ntaishi maisha mafupi sana .. sawa duke Music laboratory imekushinda
Hahaa napumzika kidogo tu mimi ndiyo nimewatoa tamaduni music au una fikiria kazi ndogo ile mimi ndiye producer mkali wa Hip Hop hapa Bongo
 
The Crushing

The Crushing

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Messages
559
Likes
813
Points
180
The Crushing

The Crushing

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2018
559 813 180
Kumbe kazi zangu unazijua, nitajie ipi unaipenda zaid
hahhahhaah lioneee nenda huko labda ni Duke rapa wewe .. ila ile professional ya fid na ile skeleton uliojazia kwenye Swahili ya stereo ni Konyo..
 
Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,685