kwenye sakata la kulamba asali supota nguli wa mwamba , MMM alikua akitoa majibu hayo dhidi ya hoja ya kulamba asali , siku ya kuzindua dira hakuamini macho yake 😁Mbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.
Nilishaanza kumstukia mbowe kuwa yupo kimaslahi hata akiua wenzake mwaka 2008Mpuuzi yule.katuchelewesha sana ana roho mbaya sana
Ana ushawishi kwako na familia yakoMbowe ana ushawishi mkubwa kuliko lisu
ukweli ndio huo.japo manyumbu ya lisu hamtaki kuukubaliAna ushawishi kwako na familia yako
Wewe na familia yako mtabaki kuwa nyumbu wa Mnafiki mboweukweli ndio huo.japo manyumbu ya lisu hamtaki kuukubali
Mbowe ni fala tuKwamba sasa hivi adui ashakua Mbowe ?; Muendelezo wa Divide and Rule..., Mpaka siku tutakapojikita kwenye maadui wa Kweli Ujinga, Umasikini na Maradhi tutaendelea na Same Script different Cast... At the same time Status quo wanaendelea na burudani zao...
Yule jamaa alivyotaka kugombea tena ndo nikajua huyo jamaa ni mjinga unashidwa kusoma hata nyakati kwamba kwa sasa mda hauko Upande wanguMwenye busara akivuliwa nguo huchutama. Zama za kamanda wa anga zimepita japo angeacha heshima kama asigegombea uchaguzi ule wa mwanzoni mwa mwaka.
Ufala wa Mbowe unahusu vipi jamii......, mimi ninayetambua maadui zetu ni Ujinga, Umasikini na Magonjwa na kwa karne hii worldwide siasa ni platform za watu kupitia kupata Kura kwenda Kula; siwezi kuangahika na individuals katika maamuzi ya maisha yao ingawa pia nikiona majority wanawekeza muda wao huko sio mbaya tukikumbushana matumizi mabovu ya rasilimali muda..,Mbowe ni fala tu
Mbowe ni fala tu Mwenyekiti wake yuko ndani yeye anatokea kuonekana kwenye Dira ila kufika mahakamani anashidwa kwa hiyo Mbowe mda wote alikua na kinyongo na hasira kwa Lissu Bible imetamka wazi hasira zinakaa kifuani kwa mtu mpumbavuUfala wa Mbowe mimi ninayetambua maadui zetu ni Ujinga, Umasikini na Magonjwa na kwa karne hii worldwide siasa ni platform za watu kupitia kupata Kura kwenda Kula; siwezi kuangahika na individuals katika maamuzi ya maisha yao ingawa pia nikiona majority wanawekeza muda wao huko sio mbaya tukikumbushana matumizi mabovu ya rasilimali muda..,
Wakati nyie panzi mnaendelea kupambana Mwewe anaendelea kuwatafuna mmoja mmoja (na Hapa panzi sisemi ni Upinzani pekee bali hata Mende CCM) kwa kukosa Vision na Uzalendo; Mwewe ni Developed Countries zinazoendelea kutafuna haya mataifa (Africa as a Whole)
That if the Bigger Picture (tusiangalie mambo katika Pixel Level) tutashindwa kuelewa Taswira....
Jamaa kazingua parefu sanaa..Mpuuzi yule.katuchelewesha sana ana roho mbaya sana
And yet unahangaika na wapumbavu na mafala waliojiweka kando badala ya manyangau na majambazi wanaoendelea kula kodi zako ?Mbowe ni fala tu Mwenyekiti wake yuko ndani yeye anatokea kuonekana kwenye Dira ila kufika mahakamani anashidwa kwa hiyo Mbowe mda wote alikua na kinyongo na hasira kwa Lissu Bible imetamka wazi hasira zinakaa kifuani kwa mtu mpumbavu
Ukiona Fisiem wanakishangilia jua iko namnaMbowe ni mtoto wa bilionea. Yeye binafsi ni mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji cha hali ya juu. Hajatafutia hela CHADEMA.