Yuko wapi FANANI wa HBC?

STEPHEN JIBE

Member
Jan 23, 2013
61
8
Kwa wanaokumbuka kund la bongo fleva la HBC wana chemsha bongo kulikua na
Big Willy,Niger J na Fanani aliyeimba 'fanani wa uhakika ktk fan anacfika' huya jamaa alikua ananikosha sana,naomba wenzangu mnijuze huyu jamaa alko na anafanya nn? asanteni
 
Alizamia USA zamani sana...:smiling:
 
umenikumbusha bwana huyu jamaa fanani alikuwa na uwezo zaidi ya profesa jay ukisikiliza ile ablam yao funa kazi jamaa kamficha sana profesa jay sina uhakika ila inasemekama fanani alikuwa adicted na madawa ya kulevya badaye akapata nafuu kwa sasa sijajua yuko wapi ila naimani hatakuwepo hapa tz tungemsikia tu cause prof anawapenda sana wana wake wangekuwa wamefanya kitu
 
fanan wa uhakika nikishika mike ni patashaka nimekumbuka zamani kidogo
 
Ndugu wana JF nami napenda nipate ngoma za hawa jamaa,msaada wenu kwa alienazo!(HBC)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom