Yuko wapi Excel?

Excel huyu kafichwa.....!?
 
Last edited by a moderator:
Mara ya mwisho aliniambia maji yamemfika shingoni...... Jamani Excel, pls cm back soon
 
Last edited by a moderator:
lol! niko nae mlimani sa hz mliolala mkiamka maswli yote kuhusu excel niulizen mimi!
 
Excel yupo visiwani

mkuu kuna mods hapa wana beef na fitna natembeza harambee nimlete mganga kutoka lamu ana uwezo wa kuroga online, mtu kama paw adhabu yake pumb.u zinahamishiwa kwenye paji la uso.
 
Last edited by a moderator:
mkuu kuna mods hapa wana beef na fitna natembeza harambee nimlete mganga kutoka lamu ana uwezo wa kuroga online, mtu kama paw adhabu yake pumb.u zinahamishiwa kwenye paji la uso.

Naomba niinunue hiyo kazi

cc King'asti
 
Last edited by a moderator:
Naomba niinunue hiyo kazi

cc King'asti

safari hii hapa tutaheshimiana tu, kwanza mimi nitaanza na baba yao maxence melo huyu ni wa kushusha mshipa kwanza halafu hatuwa zingine zitafuata.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…