mgoli magombe
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 121
- 27
Hivi nyie MABWEPANDE huwa mnaisika tu eti??.Ni bora upelekwe segerea au Butimba ufungwe hata miaka 30 kuliko kwenda MABWAPANDE ukakaa hata masaa 10.Hakuna haki za binadamu kule Mabwepande.
Bibi yangu mzaa babu mara ya mwisho kumuona ilikukuwa tabata alishindwa hata kutamka neno uji kwani bila meno huwezi kutamka vizuri dr wetu
Hivi sa kawa mtii na mwanachama wa chama cha mapinduzi
Yupo mjini shavu dodo anafanya mambo yake. Kanusurika kifo kaufyata (kama wawakilishi wa Z'bar wa CCM kwenye Bunge la Katiba, cc bi Asha)
Bibi yangu mzaa babu mara ya mwisho kumuona ilikukuwa tabata alishindwa hata kutamka neno uji kwani bila meno huwezi kutamka vizuri dr wetu
Hivi sa kawa mtii na mwanachama wa chama cha mapinduzi
Yupo Dar anaonekana week end kwenye bar sinza na ubungo !! Na Dr wenzake !
pole saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana mkuuu.daaaah umenivunja mbavu mkuuu ha ha ha ha ha