zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
Taja huo usanii wake ili wangine waujue.
Huyu hapa.....tehtehteh.. hana jipya alitapeli pesa za mke wangu pale eland hotel mianzini arusha...
Taja huo usanii wake ili wangine waujue.
Huyu bwana alikuwa anapinga kunenepa na kuota vitambi, baada ya kupiga hela yeye naye kitambi kikaanza kutoka loh!! Mtanzania zaidi ya umjuavyo
Msome huyu hapa chini.Bongo hata ufanye vizuri vipi bado utasimangwa tu, hao wanaolalamika kuwa ni tapeli ni wale waliokuwa hawana uwezo wa kupata dawa zake kutokana na kuwa bei juu, na katika wataalam wa tiba asilia hapa nchini dawa za dr. ndodi ndio zinaaminika, kama kuna mtu aliwahi kupewa dawa na ndodi asipone aje hapa.
yupo pale magomeni mwembechai.jamaa alishanilapua laki mbili zangu na sikupona
wala nini akasema niongeze laki nne anipe dawa zingine.nikapotea kimoja
Atakuwa anajipanga kugombea Ubunge! Hujui sifa kuu ya Ubunge ni kuwa mtaalamu wa dawa mbadala kama profesa maji mafupi?WanaJf naomba kujua alipo huyu jamaa mtanzania mwenzetu, dr Ndodi, mtaalamu wa dawa za asili maana alifanya sana kazi ya kusaidia baadhi ya watanzania.
Nahisi wewe ndio Mbichi aka Ndodi mwenyewe!Wakuu ndodi yupo, anasali kurasin SDA,mwezi 1 uliopita wakat wasabato wanaendesha mahubr ya Big cities yy alikuwa na mkutano biafra..
kimsingi bado anaendelea na kazi yake ya tiba asili, amejijenga sana kanda ya ziwa hasa mkoa wa geita, anapatikana mwembe chai.