Yuko wapi Dr. Ndodi

Yuko wapi Dr. Ndodi

Sio tapeli kama unavyosema bali aliweza kutoa elimu ya bure kabisa kupitia Star TV. Anastahili kukumbukwa

Bongo hata ufanye vizuri vipi bado utasimangwa tu, hao wanaolalamika kuwa ni tapeli ni wale waliokuwa hawana uwezo wa kupata dawa zake kutokana na kuwa bei juu, na katika wataalam wa tiba asilia hapa nchini dawa za dr. ndodi ndio zinaaminika, kama kuna mtu aliwahi kupewa dawa na ndodi asipone aje hapa.
 
kumuita huyu jamaa "Dr." ni sawa na kumuita mgambo "Inspector"
..only in tz kwakweli
 
Bongo hata ufanye vizuri vipi bado utasimangwa tu, hao wanaolalamika kuwa ni tapeli ni wale waliokuwa hawana uwezo wa kupata dawa zake kutokana na kuwa bei juu, na katika wataalam wa tiba asilia hapa nchini dawa za dr. ndodi ndio zinaaminika, kama kuna mtu aliwahi kupewa dawa na ndodi asipone aje hapa.

bora mchawi kuliko mnafiki ilikuwa kumwona tu 15000 je dawa wewe alikupa bure
 
Mkuu huyo dr. ndodi kwa sasa sina hakika kama yupo nchini, ila kuna mdau mmoja aliwahi kusema hapa jukwaani kuwa yupo na ana ofisi yake magomeni.

Anajihusisha na nini mkuu? Maana tunapotaka kuzungumzia tiba mbadala tz huwezi kuacha jina la ndodi.
 
nadhan atakuepo pale mwembechai magomeni! ulizia itumbi hotel
 
yupo pale magomeni mwembechai.jamaa alishanilapua laki mbili zangu na sikupona
wala nini akasema niongeze laki nne anipe dawa zingine.nikapotea kimoja
 
WanaJf naomba kujua alipo huyu jamaa mtanzania mwenzetu, dr Ndodi, mtaalamu wa dawa za asili maana alifanya sana kazi ya kusaidia baadhi ya watanzania.
Yupo kwao Songea anakula maisha, labda tu nikuambie mtaa anaokaa ili ukamuulizie................
 
kawalisha sana watu mkaa na majani! dawa zake bei ya hatari......maana syo msaada ni kutaka utajiri tu...kajaa uongoo tu
 
yupo pale magomeni mwembechai.jamaa alishanilapua laki mbili zangu na sikupona
wala nini akasema niongeze laki nne anipe dawa zingine.nikapotea kimoja
pole sana mimi nishampeleka bibi yangu dah nlikula maumivu tukaja enda tena tukatoaaaaa......baada ya muda tukaenda tena akataka zaidi ah tukashtukaaaa tukala kona
 
Mkuu huu uandishi wako sio mzuri kwa matumizi ya mtandaoni, kumbuka kila unachoandika unaandika kwa ajili ya wengine, ukitegemea kusomwa, sasa unapoandika bila kufuata taratibu za lugha ya kiswahili na masharti ya jf unataka nani asome na kuheshimu ulichoandika? umetoa wazo zuri tatizo ni lugha uliyotumia.
Badilika kwa manufaa ya wengine.

kwani ametumia lugha gani mkuu? Sio kiswahili icho? Labda ungesema kakosea harufi. Ha ha ha ha uchokozi huu mweeh!!
 
Back
Top Bottom