Mabeyo alikosea sana kulazimisha mama arithi.Maana tumejionea mauzauza yanayolikumba taifa letu.Alitakiwa kuwasikiliza Hawa wazalendo kama bashiru kakulwa ally ambao waliona mbali kuwa ataiharibu Nchi yetu na tumejionea kweli
Kama babaako ndio alikufa na akifa bahati mbaya hatutajua kwakuwa ni nobody, lakini Mh. Dk. Bashiru Ally Kakurwa (PhD), (MB) yupo mzima na anachapa kazi zake za Kibunge, za Kitaaluma na za Kifamilia kama kawaida.