Yuko wapi Diwani Athumani Msangi?

Isengelo

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
476
746
Habari wana jamvi,

Ni muda mrefu umepita, sijamsikia huyu bwana. Je, Amestaafu au amerudia kazi yake kimya kimya? Mara ya mwisho aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

Kwanini uteuzi wake ulitenguliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom