Jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda NCCR mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?
nipo baba nimejaa tele zaidi ya unavyofikiri, hufatilii tu, si kila kitu media tunachanja mbuga.jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda nccr mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?
WOGA wako ndio umasikini wako.kisanduuuu!!!! Katusumbua sana class hana lolote
hujitambui, unafanya siasa kwa shinikizo la ushabikikwisha yule amna kitu saivi, kipindi kile alikuwa joto saivi kashatoka!
umechemka dada. Nguvu ya mabadiliko haiji kama move, tunahitaji vijana wenye uwezo wa kujitambua bila ushabiki wa vyama na wakaweza kusimama wao kama wao bila mgongo wa umarufu wa mbunge wala mtu mkubwa kisiasa. Ndio maana vijana wa kitanzania hatufanikiwi kwasababu mnaamini katika majina yaleyale miaka yote.Vijana wengine ni kama wale waigizaji kwenye movie za kihindi, harakati nyingi lakini mwishowe utakuta mhusika mkuu anafia kwenye maua!
slaa ndio nani, mimi uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko hata watu hao unaowataja.lol.. mbavu zangu mie. Naona bado anakusanya watu maana mara ya mwisho alionekana Kahama akihutubia wanafamilia.. alifikiri kujaza umati kama wa Dk Slaa ni mchezo, hakujua kuwa watu waliinvest miaka kabla ya kuona matokeo...
nipo baba nimejaa tele zaidi ya unavyofikiri, hufatilii tu, si kila kitu media tunachanja mbuga.
Si kila mzaliwa wa kahama anasotea kazi buzwagi, tena kama hauna kazi nitafute nikusaidie maana unaropoka tu.Anasotea kazi buzwagi..wara nyingi huwa anawakusanya wasoteaji wenzake pale getini na kuwahubiria siasa za nccr..
umechemka dada. Nguvu ya mabadiliko haiji kama move, tunahitaji vijana wenye uwezo wa kujitambua bila ushabiki wa vyama na wakaweza kusimama wao kama wao bila mgongo wa umarufu wa mbunge wala mtu mkubwa kisiasa. Ndio maana vijana wa kitanzania hatufanikiwi kwasababu mnaamini katika majina yaleyale miaka yote.
slaa ndio nani, mimi uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko hata watu hao unaowataja.
Nimezaliwa CDM nakulia NCCR-Mageuzi chama makini.Huyu angetaka kudumu angerudi CCM. NCCR ni Karikoo atakujua nani?
umekariri baba.Amepotea Kama Juliana Shonza na Mtela Mwampamba,Singo walizotoka nazo dhidi ya Chadema hazijawatoa
aksante. anayekataa kwao ni mtumwa.yuko kijiji cha Busoka wilaya ya Kahama
Acheni uongo, Mungu atawa laani.Ni mwalimu aliyegoma kufundisha,mbatia alimdanganya kuwa anampa hela,imekula kwake kama kawaida ya wasaliti,akanyong'onyea kama cheni,yupo yupo tu kahama anasotea ajira za mgodini
i will, i can, i must.anaona aibu anatafuta njia atarudije.
Wa mateja au?Nadhani anakusanya saini za wadhamini tayari kwa kugombea urais! Kisanduuu!
i will, i can, i must.
slaa ndio nani, mimi uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko hata watu hao unaowataja.