johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,638
Rekodi yake haijavunjwa!Hahah!! Hii ilikua kali
Sinasikia Waziri mkuu wa sasa nae alishafanya hvyo, au ni stori za mtaani tu?Rekodi yake haijavunjwa!
Hata mimi nasikia. ila huyu Mnali atakuwa aliiga kwa mkuu mmoja wa mkoa aliyeitwa Tumainiel Kiwelu (alikuwa mwanajeshi) alikuwa akiwachapa bakora walimu wakuu mbele ya wanafunzi. Huko Shinyanga kuna mwalimu mkuu mmoja aliomba kuhamishwa shule vinginevyo ataacha kazi kwa kuwa alikuwa anataniwa sana baada ya kuchapwa bakora mbele ya wanafunzi...Sinasikia Waziri mkuu wa sasa nae alishafanya hvyo, au ni stori za mtaani tu?
Kwa kumbukumbu zangu, kabla hajawa mkuu wa wilaya Bukoba, alikuwa pale Geita kama mkuu wa wilaya.Nilimfahamu Albert Mnali tangu akiwa karani wa bunge pale Dodoma na baadae DC Njombe na Bukoba. Tangu tukio lile la kuwachapa viboko walimu wale wazembe na kusimamishwa kazi sijamsikia tena. Ndio nauliza yuko wapi mjeshi yule alihitajika sana zama hizi za hapa kazi tu hakuna mchezo mchezo!
Inawezekana maana huko ndio kwao!Yupo nadhan Ni Nachingwea Mwenyekti wa CCM wWilaya Kama kumbukumbu zangu zipo vyema
DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!Nilimfahamu Albert Mnali tangu akiwa karani wa bunge pale Dodoma na baadae DC Njombe na Bukoba. Tangu tukio lile la kuwachapa viboko walimu wale wazembe na kusimamishwa kazi sijamsikia tena. Ndio nauliza yuko wapi mjeshi yule alihitajika sana zama hizi za hapa kazi tu hakuna mchezo mchezo!
Inawezekana maana kituo chake cha kwanza kama DC kilikuwa Njombe 1997 kama sikosei!Kwa kumbukumbu zangu, kabla hajawa mkuu wa wilaya Bukoba, alikuwa pale Geita kama mkuu wa wilaya.
Hahah!! Haya mambo unawezakuona kama ni vichekesho ila kumbe ndio ukweli huoHata mimi nasikia. ila huyu Mnali atakuwa aliiga kwa mkuu mmoja wa mkoa aliyeitwa Tumainiel Kiwelu (alikuwa mwanajeshi) alikuwa akiwachapa bakora walimu wakuu mbele ya wanafunzi. Huko Shinyanga kuna mwalimu mkuu mmoja aliomba kuhamishwa shule vinginevyo ataacha kazi kwa kuwa alikuwa anataniwa sana baada ya kuchapwa bakora mbele ya wanafunzi...
Kawaulize wana ccm wenzako sisi wengine tupo busy kujitafutia mkate wetu wa kila sikuNilimfahamu Albert Mnali tangu akiwa karani wa bunge pale Dodoma na baadae DC Njombe na Bukoba. Tangu tukio lile la kuwachapa viboko walimu wale wazembe na kusimamishwa kazi sijamsikia tena. Ndio nauliza yuko wapi mjeshi yule alihitajika sana zama hizi za hapa kazi tu hakuna mchezo mchezo!
Huyu angeweza kumchapa bakora toto tundu mange!Kawaulize wana ccm wenzako sisi wengine tupo busy kujitafutia mkate wetu wa kila siku
Wacha Mange aendelee kula maisha yake kwa mrija huko dunianiHuyu angeweza kumchapa bakora toto tundu mange!