Kwa leo nimekubuka mengi ila nataka kujua yuko wapi dada mmoja mtangazaji wa ITV Chiku Lweno? Hivi kweli aliomba permanent contract kutoka kwa Joyce Mhavile mnyarwanda katili, akamtimua? Tujuzane kama yupo humu ajitokeze.
WANAJAMVI MAMBO? kwa leo nimekubuka mengi ila nataka kujua yuklo wapi dada mmoja mtangazaji wa ITV chiku Mwano? ivi kweli aliomba permanent contract kuoka kwa joiyce mhavire mnyarwanda katil, akamtimua? tujuzane kama yupo humu ajitokeze
FATMA ALMAS NYANGASA, ZAINAB CHONDO, REHEMA SALIM hawa wameenda AZAM TV, na ADRIAN STEPP, FATNA RAMOLE kutoka EATV wako pia AZAM TV, huyu UFOO SARO ndio sielewi yuko wapi.