Yuko wapi Bahati Tweve? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Bahati Tweve?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Tiger, Jan 5, 2012.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka kipindi fulani(2002-2004), kulitokea mgomo pale UDSM.
  Bwana Bahati aliyekuwa mwanafunzi wakati ule alitajwa na speaker bungeni kwamba alikuwa kinara wa vurugu hizo.
  Kulingana na namna ile taarifa ilivyotolewa, niliona ilikuwa na mchanganyiko wa siasa kidogo. Wahanga wa kufukuzwa vyuo huwa hawafutiki kichwani kwangu kirahisi.
  Hivi yuko wapi na anafanya nini mwana harakati Bahati? Naomba kujua.
   
 2. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  alikufa kama hajafa ajitokeze kujibu
   
 3. K

  Kampini Senior Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina amini hajafa,kijana mara ya mwisho nilimsikia mwaka 2010 akiwa NCCR Mageuzi,kweli huyu mwanaharakati sauti yake imezimwa.
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Yuko NCCR Mageuzi kama Mmoja wa wanasheria wa chama chini ya Dr Mvungi hadi sasa
   
 5. Mkaguzi

  Mkaguzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pia ni mwanasheria pale TPDC
   
 6. T

  Tiger JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nawashukuru wote mlioleta taarifa hizi.
  Big up Bahati.
   
 7. m

  mjanjamimi Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  samahani sijibu topic yako ,bali jamii kumezidi udini. Mungu ahukumu admistration yake.
   
 8. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umelewa?
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hivi huyu mwanaharakati amejifcha wapi?
   
 10. Dogo Tundu

  Dogo Tundu JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2013
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 441
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Yupo TPDC kama legal officer ila kabadilisha jina lake lote, anajiita eti Rafaeli Mgaya, wanaotaka kumwona waende pale TPDC na usimuulize kwa jina la bahati tweve uliza Rafael Mgaya halafu inabyosemekana jamaa ni TISS hata TPDC alipata kazi kimaajabu sana. Tangazo la ajira lilitaka wenye 1st ama upper 2rd class, ye alikuwa na lower tena mbaya lakini alipata kazi.
   
 11. M

  Mamabolo Member

  #11
  Mar 20, 2015
  Joined: Feb 13, 2015
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2004 mgomo ule mkubwa ulitesa wanafunzi wengi na kutishia utulivu chuo.
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kumuona Bahati Tweve akihojiwa na TBC kama Mwalimu....sina uhakika kama ni yeye!
   
Loading...