Uzee habari nyingine.
Unaweza ukawa na vijisenti vingi, mitoto yenye chura inajipitisha lkn huwezi kuwafanya kitu. Nyama ya mbuzi choma unaiona lkn ndio hivyo Tena.
Madhulumati yote ya haki za watz yanatakiwa yapungue au yaishe kabisa... Haiwezekani tz Imilikiwe na wasio na upeo wa maendeleo na dhulmaπ±π±πͺπͺπͺπͺπͺ
Hivi kwa nini kodi yetu inalipa watu wasio na shukrani na kidogo wanachokipata?? "wanatamani tuhamie burundi sio????? Ambako hakuna hali ya hewa iliyopo hapa kwetu??? Basi sawa..... Yupo ambaye yupo kwa siku nyingi zilizipita na zijazo..... Itafahamika tuπ
Hivyo vyombo vipo huru katika kusimamia haki na sheria? Mfano dili la rada kapiga hela ya kutosha katika hela ya udalali japo yeye alisimama kama mwanasheria wa serikali na anajigamba hawezi kufungwa kwa sababu alifanya yote hayo kwa ruhusu ya namba moja wa wakati huo na sote tunakumbuka hata profesa Mahalu alichomoka kwa mtindo huo huo.