Hahahahaha....umenikumbusha yule aliyeambiwa achore ng'ombe anayekula majani,yeye akachora majani mafupi mafupi....na mkia pembeni kabisa ya ile karatasi,alipoulizwa na mwalimu kwanini hajachora ngombe bali mkia tu alafu pembeni ya karatasi
Dogo akajibu:-
ww si ndo umechelewa kuja kumuangalia.!!?mm nimemchora lkn nilipomaliza tu mkia,akaondoka akaenda kula majani sababu alikuwa ashamaliza haya hapa,
na siajabu na huu mkia nao ukaishilia,ulisahau kutuambia tumchore alafu tumfunge kamba.....teh teh teh teh...yaani ina maana ngombe alishafika pembeni kabsa na ile karatasi..