WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.
Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.