Yu wapi Zitto Kabwe?

Yu wapi Zitto Kabwe?

kumbe we mwanaume im sorry unajua wanaume huwa hatunaga mipasho so niliquote nikijua wewe ni dada baada ya kuona umepost mipasho
Mipasho unaijua wee msengerema! Peleka upuuzi wako kule maanina zako!
 
Mkuu, Mh. Zitto nipo nae hapa Urusi barabara ya Lumumba, Mwanga Kigoma Mjini, tunapata kahawa na kashata, anawashangaa CHADEMA hawazungumzii ufisadi, hapa Wazalendo wa Kigoma tunamsikiliza kwa makini!

Mpe hi, alafu muulize kwanini anabandika picha zake hata mikoa isiyohusika? Mfano morogoro.
 
Hahahahahaaaaa kutoka siasa za kitaifa hadi kwenye vijiwe vya kahawa? hakika hilo ni poromoko kuu
 
Kweli Zitto ana roho ngumu sn, Estomih Mallah (rip) ambae pia alikuwa kiongozi Leo anaagwa Arusha, Zitto wala hana habari yupo na mishe zake tu
 
We jamaa muongo sana,,mara kafulila hali mbaya,mara nccr inaweza pata ubunge kwa kafulila tu sasa tukueleweje? Husomeki kabisaaaa,,,zito ataibuka mshindi kwa act,lkn nccr watayashikiria majimbo yao trh 25 ,na cdm watapata kama kigoma kaskazini,na the rest itakuwa kati nccr na ccm.
 
Mpe hi, alafu muulize kwanini anabandika picha zake hata mikoa isiyohusika? Mfano morogoro.
Kama anabandika mpaka Moro itakuwa mshikaji amepagawa au kuna wapiga kura wake huko anawakumbusha tarehe ikifika warudi Kigoma?
 
Inawezekana mkuu, amebandika hadi kamfunika mgombea wa Moro mjini.
 
zitto anashinda mapemaaa ila kanda ya ziwa ndipo inaonekana wanaweza pata wabunge so chama kimempatia hilo jukumu, siku zilizo baki anaruka na chopa kuanzia juzi jumatatu anazunguka Rukwa,kigoma na Tabora
 
Zitto yuko kimya tangu uhamiaji walipoanza kuhoji uraia wake ikabidi awe mpole haaaa haaaa.
 
Anatoka kaskazini unajua Zitto anachukia sana watu wa kanda ya kaskazini.Halafu naambiwa jimbo lake hali si hali anapumulia mashine UKAWA wapo juu sana.

Kweli Zitto ana roho ngumu sn, Estomih Mallah (rip) ambae pia alikuwa kiongozi Leo anaagwa Arusha, Zitto wala hana habari yupo na mishe zake tu
 
Zitto yupo na harakati zinaendelea, majibu ni baada ya oct. 25
 
Huyu Zitto binafsi naona MUUWENI TU kama CHACHA WANGWE ili MPUMUE maana CHUKI MLIYONAYO JUU YAKE HAINA MFANO WAKE.Binadamu wabaya sana ni bora ukakutana hata na simba anaweza kuwa kashiba.
 
Zito ni mchawi alishasema akifa hamna hata panya atabaki nchi hii
 
Back
Top Bottom