Yu wapi Waziri Mwigulu Lameck Nchemba Madelu?

Wakuu habari za kitambo kirefu....

Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha.

Alipokabidhiwa Wizara hiyo alianza kwa mbwembwe nyingi kiasi akafungia Mchinjio za Vingunguti nahatimaye kuelekea Chalinze kwa aliyekuwa mwana mfalme kukagua ranchi ya Taifa.

Tangu hapo hajasikika tena, kiasi sasa wadau wananza kuhisi kwamba pengine ilikuwa nguvu ya soda. Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hali ya juu ambaye kila mti na Mawe yaliyoonekana ni makubwa yalipitiwa nawinowenye maandishi ya jina lake wakati wa kura za maonindani ya chama chake. Haikutarajiwa kwamba atazima ghafla kiasi hicho.

Ndipo watu tunajiuliza Rais huyo wa Mawe, Miti, Milima na Michongoma kimempata nini? Kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya Magufuli au tatizo ni nini?

Tafadhali kama unajua aliko Waziri wetu hebu tujuze.

BACK TANGANYIKA
Yuko! Juzi alikuwa kwenye news under the shadow of Maghembe. Alikuwa mpole kweli kweli. Lazima uiendee migogoro ya wakulima na wafugaji kwa hekima kubwa. Huku mvua zimezidi, kwengine migogoro ya maji! Naona maji yamemfika shingoni. Tusubiri ikishaenda Vietnam labda atarudi na mikakati mizuri.

Siku aliyosema "Kama unataka Mali mtaipata shambani" ndiyo siku niyofahamu kwamba huyu ana kielement cha arrogance na hajui anachokifanya wizara hiyo!
 
....huwa naliona jamaa na makombati (na bendera shingoni)huko mashambani....haswa pale wakulima na wafugaji wanapokatana mapanga....ubaya wa wizara yake ni kuwa hakuna fursa ya kuuza sura...maana kila kitu huko mifugo na kilimo ni majanga...

...Hii ndio wizara ya mwisho kabisa kwenye vipaumbele vya watawala tangu huko nyuma..hivyo ni vigumu sana kwa muuza sura kama Mwigulu kusikika sana....Hii ni tofauti na wizara kama za kina Nape....Lukuvi..ama Mbarawa...
 
Huyu ni aina wa 'wazalendo' wa Kitanzania ambao nina mashaka kama ataweza kuonyesha cheche zake chini ya JPM. Kama Mh. Membe, marope, Migiro wangelitimiza ndoto zao za kuingia ikulu basi cheche zake huyu mzalendo zingelikuwa zaidi ya radi za masika!
 
Kwa nini una nuulizia huyu jambazi? Laana yote ya watu ambao amewaua bila hatia lazima iwe ju yake.
 
Wakuu habari za kitambo kirefu....

Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha.

Alipokabidhiwa Wizara hiyo alianza kwa mbwembwe nyingi kiasi akafungia Mchinjio za Vingunguti nahatimaye kuelekea Chalinze kwa aliyekuwa mwana mfalme kukagua ranchi ya Taifa.

Tangu hapo hajasikika tena, kiasi sasa wadau wananza kuhisi kwamba pengine ilikuwa nguvu ya soda. Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hali ya juu ambaye kila mti na Mawe yaliyoonekana ni makubwa yalipitiwa nawinowenye maandishi ya jina lake wakati wa kura za maonindani ya chama chake. Haikutarajiwa kwamba atazima ghafla kiasi hicho.

Ndipo watu tunajiuliza Rais huyo wa Mawe, Miti, Milima na Michongoma kimempata nini? Kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya Magufuli au tatizo ni nini?

Tafadhali kama unajua aliko Waziri wetu hebu tujuze.

BACK TANGANYIKA
mara ya mwisho alionekana " Amezuiwa na wananchi njiani huko mbeya " kwa kilichodaiwa eti walitaka kumueleza shida za mgogoro wa ardhi ! la ajabu zaidi mkutano huo wa ghafla ulikuwa umeandaa majukwa na maturubai bila kusahau matarumbeta , utapeli wa kiwango cha chini sana !
 
Baadhi yao mtumbua majipu amewapitia kwenye maslihi yao for now hawaamini
 
Kuna mawaziri wachapa kaz na sio wakurupukaji mfano wa wachapa kazi prof mbalawa,lukuvi,dk mpango
 
Huyu atakuwa alikuwa na tabia ya kuandika kwenye kuta chooni alipokuwa kijana mdogo.
 
Kuna mawaziri wachapa kaz na sio wakurupukaji mfano wa wachapa kazi prof mbalawa,lukuvi,dk mpango

Kuna mmoja ambaye ni Unsung hero..

Huyu yuko Wizara ya Mambo ya nje Afrika Mashariki na Kikanda. Huyu ni Bonge la Jembe ambaye anaziba mapengo ya Safari alizopaswa kusafiri Magufuli nje ya Nchi. Ni chini ya huyu Bwana naona uhusiano wetu na majirani waadilifu ukirejea kwenye mstari.

Jamaa ni jembe kuu la Pembeni, Magufuli lilinde hilo

BACK TANGANYIKA
 
Yupo juzi nimepanda nae ndege mwanza.kuja dar,kajaa tele sema kapunguza makelele
 
Ameenda mbinguni kutoa ushahidi wa kesi ya mh. Lwakatare ya ugaidi...
 
Wakuu habari za kitambo kirefu....

Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha.

Alipokabidhiwa Wizara hiyo alianza kwa mbwembwe nyingi kiasi akafungia Mchinjio za Vingunguti nahatimaye kuelekea Chalinze kwa aliyekuwa mwana mfalme kukagua ranchi ya Taifa.

Tangu hapo hajasikika tena, kiasi sasa wadau wananza kuhisi kwamba pengine ilikuwa nguvu ya soda. Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hali ya juu ambaye kila mti na Mawe yaliyoonekana ni makubwa yalipitiwa nawinowenye maandishi ya jina lake wakati wa kura za maonindani ya chama chake. Haikutarajiwa kwamba atazima ghafla kiasi hicho.

Ndipo watu tunajiuliza Rais huyo wa Mawe, Miti, Milima na Michongoma kimempata nini? Kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya Magufuli au tatizo ni nini?

Tafadhali kama unajua aliko Waziri wetu hebu tujuze.

BACK TANGANYIKA
Au kakita ngome Mvomero maana kuna muda alionekana kule kijeshi zaidi kwenye mpambano wa wakulima na wafugaji.
 
Skendeli ya kumsomesha mwanae Fedha school ilivuruga haiba yake....!
 
Back
Top Bottom