Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
sahihi yake ni muhimu sana kwani wabunge wa viti maakum hawaruhusiwi jamani tumalize mchezo?
kwa mpango huu ndipo wataonekana wanaofaa kugomea urais mwaka 2015 kutoka ndani ya CCM. Nina hakika kabisa kuwa Mheshimiwa Edward Lowasa atakuwa wa kwanza kusaini kwa wabunge chama chake kudhihrisha kuwa yeye si FISADI bali ni serikali yake tu. wengine ni Akina Sita, Mwakyembe na wengine kudhihirisha kuwa wao ni wazalendo halisi na wana uchungu na nchi hii. unajua siku zote huwa njia ya mwongo ni fupi.
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
Bado anaweza kusaini huko huko.Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
Kaka naona mmeitoa ile thread ya ''kizushi''........JF integrity first!
Ila mbona mmenitolea u-expert katika membership without any because?lol