Kugeuka JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 333 Reaction score 225 Sep 23, 2018 #1 Habari za jumapili Wanajamvi,nilikua napenda sana nyimbo za huyu jamaa,Q Jay,wakiw na kundi la WAKALI KWANZA,Kwa yeyote anayejua,Yu wapi huyu jamaa?
Habari za jumapili Wanajamvi,nilikua napenda sana nyimbo za huyu jamaa,Q Jay,wakiw na kundi la WAKALI KWANZA,Kwa yeyote anayejua,Yu wapi huyu jamaa?
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,688 Reaction score 2,982 Sep 23, 2018 #2 Kugeuka said: Habari za jumapili Wanajamvi,nilikua napenda sana nyimbo za huyu jamaa,Q Jay,wakiw na kundi la WAKALI KWANZA,Kwa yeyote anayejua,Yu wapi huyu jamaa? Click to expand... Nasikia Alienda kuoa familia fulani ya dini so wakamwambia achane na mziki aokoke. So àkafanya hivo. But i miss them. Q Jay, Makàmua, Josyline ni baraà hizi Namba
Kugeuka said: Habari za jumapili Wanajamvi,nilikua napenda sana nyimbo za huyu jamaa,Q Jay,wakiw na kundi la WAKALI KWANZA,Kwa yeyote anayejua,Yu wapi huyu jamaa? Click to expand... Nasikia Alienda kuoa familia fulani ya dini so wakamwambia achane na mziki aokoke. So àkafanya hivo. But i miss them. Q Jay, Makàmua, Josyline ni baraà hizi Namba