Yu wapi Prof. Mark Mwandosya?

Yu wapi Prof. Mark Mwandosya?

Mzee huyu ameutafuta urais lakini bahati haikuwa yake. Kwenye kampeni hata hakushiriki japo alisema Magufuli ni rafiki yake.(kwenye ile script iliyosambaa wakati wa kampeini).

Prof anaonekana kuwa na uwezo na ndiyo sababu JK aliamua kumuacha kwenye baraza japo hakuwa na wizara. Rais Magufuli ukiona huyu mzee anakufaa mtumie.

Who is he to this nation by the way?
 
yupo kijijini kwake, naposema kijijini namaanisha, sio mara leo ethiopia, sauzi, msoga, ikulu, uingereza
 
Nisilopenda kuhusu Mwandosya ni kwamba alikuwa Waziri treni ilipopata ajali Dodoma. Otherwise hakuna sababu yoyote kwa nini aende kujificha kijijini badala ya huendelea na kazi ya Taifa.
 
Nisilopenda kuhusu Mwandosya ni kwamba alikuwa Waziri treni ilipopata ajali Dodoma. Otherwise hakuna sababu yoyote kwa nini aende kujificha kijijini badala ya huendelea na kazi ya Taifa.

Alihusikaje na hiyo ajali?
 
Aliaga akisema anahamia kijijini kwake. Anapumzika mzee wa watu.
Mzee huyu ameutafuta urais lakini bahati haikuwa yake. Kwenye kampeni hata hakushiriki japo alisema Magufuli ni rafiki yake.(kwenye ile script iliyosambaa wakati wa kampeini).

Prof anaonekana kuwa na uwezo na ndiyo sababu JK aliamua kumuacha kwenye baraza japo hakuwa na wizara. Rais Magufuli ukiona huyu mzee anakufaa mtumie.
 
Wazee wanatosha, wengine wastaafu tu! Sio lazima wote wawepo!
Akaamdike vitabu kwa kutumia fani yake jinsi ya kutatua kero! Aanzishe asasi ya kufanya research na kupendekeza cha kufanya upande wa utekelezaji wa mambo ya fani yake, siasa aweke kando! Ni wasomi wachache sana wanafanikiwa ktk siasa, wachache sana kama kina Magu.
 
Juma mosi tar 19 alikuwa mbeya university of science and technology akitunuku vyeti kwa wahitimu kwenye mahafali
 
Habarini za leo wanaJF,

Naona weekend ndo imeanza, japo haitofautiani sana na siku za katikati ya wiki-mifuko kutoboka.

Prof Mark Mwandosya ni miongoni mwa makada wasomi wa siku nyingi ndani ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi - CCM.

Amewahi kugombea nafasi ya Urais mara mbili ndani ya chama chake pamoja na kwamba amekuwa akikatwa.

Toka Rais Magufuli aingie madarakani, na hata tu kwenye kampeni zake za mwaka jana 2015, Proffesor huyu ni kama ameasi wenzie, amezira sijui...kwani amekuwa mkimya sana.

Mwenye taarifa za alipo Prof. Mwandosya naomba atujuze..
 
Yupo kijijini kwake Rungwe Busokelo alimponda sana Magufuli eti hawezi kuongoza chama mwache aisome namba
 
Habarini za leo wanaJF,naona weekend ndo imeanza,japo haitofautiani sana na siku za katikati ya wiki-mifuko kutoboka!

Prof Mark Mwandosya ni miongoni mwa makada wasomi wa siku nyingi ndani ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi - CCM!

Amewahi kugombea nafasi ya Urais mara mbili ndani ya chama chake pamoja na kwamba amekuwa akikatwa!

Toka Rais Magufuli aingie madarakani, na hata tu kwenye kampeni zake za mwaka jana 2015,Proffesor huyu ni kama ameasi wenzie,amezira sijui...kwani amekuwa mkimya sana.

Mwenye taarifa za alipo Prof Mwandosya naomba atujuze..

nadhani Bujibuji anaweza kuwa msaada🙁
 
Back
Top Bottom