Yu wapi mzee wetu JK?

Yu wapi mzee wetu JK?

sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
7,634
Reaction score
11,691
Kwa sasa yeye ndio ameshikilia injini ya nchi hivyo ukimya wake unatia shaka.

Mara ya mwisho ilisemekana yupo Washington USA wakati wa uzinduzi wa royal tour. Lakini toka wakati huo hajasikika tena na wakati haikuwa kawaida kumaliza wiki bila kusikika au kuonekana kwenye jambo lolote toka ilipoingia awamu ya sita na sasa ni takribani mwezi.

Je bado yupo mapumziko nchi za nje au kuna tatizo lolote? Tumemmiss mzee wetu.
 
Mna mnanga mitandaoni halafu mnauliza yuko wapi?
Yuko Msoga anacheza na wajukuu zake.
 
Kwa sasa yeye ndio ameshikilia injini ya nchi hivyo ukimya wake unatia shaka.

Mara ya mwisho ilisemekana yupo Washington USA wakati wa uzinduzi wa royal tour. Lakini toka wakati huo hajasikika tena na wakati haikuwa kawaida kumaliza wiki bila kusikika au kuonekana kwenye jambo lolote toka ilipoingia awamu ya sita na sasa ni takribani mwezi.

Je bado yupo mapumziko nchi za nje au kuna tatizo lolote? Tumemmiss mzee wetu.
Yupo anakula kuku Kwa mrija baada ya Kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa.🤔
 
Kumbe nae kwenye uzinduzi wa royo tuwa alikuwepo ? Mwee alimpeleka na mama yetu mpendwa ?
 
Back
Top Bottom