Yu wapi mzee wetu JK?

Yu wapi mzee wetu JK?

Kwa sasa yeye ndio ameshikilia injini ya nchi hivyo ukimya wake unatia shaka.

Mara ya mwisho ilisemekana yupo Washington USA wakati wa uzinduzi wa royal tour. Lakini toka wakati huo hajasikika tena na wakati haikuwa kawaida kumaliza wiki bila kusikika au kuonekana kwenye jambo lolote toka ilipoingia awamu ya sita na sasa ni takribani mwezi.

Je bado yupo mapumziko nchi za nje au kuna tatizo lolote? Tumemmiss mzee wetu.
Kuna riwaya inaendelea humu na mleta riway bi yoga alilisanua kuwa lolote laweza kumkabili mtu huyo
 
ukiwa na roho ya WIVU, CHUKI na ROHO MBAYA huwezi kuishi maisha marefu, lazima ufe mapema.
kwa wale wenye tabia hiyo epukeni ili muishi maisha marefu. huo ni uthibitisho wa kisayansi.
 
Back
Top Bottom