IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,881 Reaction score 7,536 Dec 31, 2015 #1 Chezea Esther Bulaya wewe Attachments 1451566216869.jpg 21.9 KB · Views: 39
Captain22 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 630 Reaction score 285 Dec 31, 2015 #2 Nasikia Rais amemteua kuwa mkuu wa hifadhi ya taifa ya Gombe
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,278 Reaction score 61,236 Dec 31, 2015 #3 Ina maana unakosa kwa usmart tu
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Dec 31, 2015 #4 Siasa kitu kibaya sana, mzee amepotezwa mazima. Maskin wasira atakuwa anapigana masumbwi ya mchangan
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Dec 31, 2015 #5 ITV walipenda sana kumwalika kwenye kipindi chao cha dk 45. Wamwalike tusikie anayoyasema kuhusu uchaguzi mkuu na serikali ya Hapa Kazi Tu!
ITV walipenda sana kumwalika kwenye kipindi chao cha dk 45. Wamwalike tusikie anayoyasema kuhusu uchaguzi mkuu na serikali ya Hapa Kazi Tu!
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Dec 31, 2015 #6 Amestaafu siasa huyo
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Dec 31, 2015 #7 Anaandika vitabu
Khakha JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 2,981 Reaction score 1,013 Dec 31, 2015 #8 Deshmo said: Anaandika vitabu Click to expand... Kuhusu nini? Evolution?