Octoba sitiki
Member
- Jul 15, 2025
- 20
- 30
Nmejikuta leo namkumbuka uyu mwanadada ambae alitokea kujizolea umaarufu sana kipindi kile Mjomba katuacha bila kutuaga!!
Kuna yoyote mwenye taarifa zake?
Alafu vp me naona kama yupo hai ingekuwa poa kama balozi akiungana nae wakapiga combination moja nna Imani watasepa na kijiji Chao!
Kuna yoyote mwenye taarifa zake?
Alafu vp me naona kama yupo hai ingekuwa poa kama balozi akiungana nae wakapiga combination moja nna Imani watasepa na kijiji Chao!