Yu Wapi Mke Wangu Charty,Popote Mkimwona Mwambieni Namtafuta

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mkimwona Charty popote mpeni taarifa nimemmiss sana.Ni zaidi ya miaka 3 sasa sijasikia sauti yako na uandikaji wako my wife.Njoo rudi nyumbani Charty tulee watoto wetu.

Yaliopita si ndwele tugange yajayo my wife.
 
Jamni Charty rudi nyumbani mlee watoto wenu charty..mwenzio bado anakupendq charty..
 
Mkimwona Charty popote mpeni taarifa nimemmiss sana.Ni zaidi ya miaka 3 sasa sijasikia sauti yako na uandikaji wako my wife.Njoo rudi nyumbani Charty tulee watoto wetu.

Yaliopita si ndwele tugange yajayo my wife.
Na kibaridi hiki cha June charty mama rudi kwa mzee! Upweke utammaliza
 
Mkimwona Charty popote mpeni taarifa nimemmiss sana.Ni zaidi ya miaka 3 sasa sijasikia sauti yako na uandikaji wako my wife.Njoo rudi nyumbani Charty tulee watoto wetu.

Yaliopita si ndwele tugange yajayo my wife.
Jaman babe tangia kampeni zianze 2015 ulikua busy na siasa nikaona nikae pembeni! na hivi tokea upewe kitengo ndo kabisa..i miss you so much my husband!! watoto wako salama kabisa tena haka ka mwisho kajasiri kama wewe baba yao.
 
Rafiki niambie basi odds za leo
Kwa leo ningempa man city direct win..inter win or draw...dinamo zagreb win..wycombe win or draw..cska-sofia ningempa win..na huyu dynamo kyiv win or draw
Kama una mzigo mrefu chagua apo hata mbili uweke sure bet
Kingine naomba uingie sofa score alafu nenda kacheki hizo team wakikutana inakuaje ili uweke uhakika zaidi.
Nimeshindwa kuchek coz nawahi ibadani.All the best see u later!
 
Shukrani sana uniombee huko ibadani rafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom