Yu wapi Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,150
Salaam!

Ni kweli ni kiongozi batili aliyekalia kiti batili baada ya uchaguzi batili KUYEYUKA na watanzania kwa maelfu kuuawa.

Lakini kama binadamu, nina haki ya kujua alipo ndugu huyu.

Mwenye taarifa juu ya alipo Ndugu Emmanuel Nchimbi anifahamishe!

Karibuni 🙏
 
Kwani unashida nae?
 
Jiandaeni na salamu za rambirambi.


Movement ya Samia kuwapoteza wakristo wenye ushawishi CCM na Serikalini hasa Wakatoliki inaendelea kwa kasi sana.

Sasahivi mtasikia ameumwa amezidiwa na kufa hapa Dodoma.
 
Msijipe umaarufu ambao hamnao. Ni mke wake tu na bosi wake ndiyo anapaswa kujuwa Nchimbi yuko wapi.

Mabwege kazi yenu kubuni situation ambazo hazipo na kuziandika kwenye mitandao.
 
Msijipe umaarufu ambao hamnao. Ni mke wake tu na bosi wake ndiyo anapaswa kujuwa Nchimbi yuko wapi.

Mabwege kazi yenu kubuni situation ambazo hazipo na kuziandika kwenye mitandao.
Mimi ni boss wake, mwenye nchi.
 
Sisi tunaomjua Dr Nchimbi hatuna wasiwasi kabisa kuhusu uwepo wake!vita tunayopigana ni ngumu mno!hii part ya kimyakimya💪💪
 
Mkuu wa usalama wa taifa TISS ilisemwa kafariki... JE ZILE TAARIFA ZINA UKWELI WOWOTE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…