Yu wapi Lara 1?

Wakongwe humu mtamkumbuka huyu mwanadada wa kuitwa Lara 1, "kubwa la maadui" . Posts zake ulikuwa huchoki kuzisoma, full of wit, mtoto wa mjini haswa! Sijamuona kitambo humu. Nimemiss uwepo wake.
Actually sahivi mtoto wa KIMATAIFA! Nimetuma border zote muhimu
 
NIPO NIMEACHIKA TALAKA 3! Najipunguza mwili kwanza! NARUDIIIII KUDANGAAA HUMU UPYAAAAA! MJIPANGE! Mama Lao narejea!
welcome back the jf irreplaceable..
Tuletee zile burudani maana hata wavivu wa kusoma tulizimaliza
 
NIPO NIMEACHIKA TALAKA 3! Najipunguza mwili kwanza! NARUDIIIII KUDANGAAA HUMU UPYAAAAA! MJIPANGE! Mama Lao narejea!
kunidanga sio kesi , kesi ni utaweza kunihimili mpka kuipata hyo chenchi yangu!? usikute ushachoshwa huko hata kiuno kimekua gogo hahaaa
 
NIPO NIMEACHIKA TALAKA 3! Najipunguza mwili kwanza! NARUDIIIII KUDANGAAA HUMU UPYAAAAA! MJIPANGE! Mama Lao narejea!
Eagerly waiting big dada. .

Jf huwa nasoma stories za KLM tu. . I was bored balaa hadi nilianza kupotea. ..
Thanks God you're back. .

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom